Wednesday, 6 June 2012

Rais Padri akumbwa na kashfa ya kumi ya kuzaa


President Fernando Lugo, April 26 2012Rais wa Paraguay,Fernandez Lugo (61) amekumbwa na kashfa nyingine ya kuzaa akiwa padri. Rais huyu anasemekana alizaa na nesi mmoja aitwaye NarcisaDelacruz miaka 10 iliyopita. Narcisa  ni mwanamke wa kumi kujitokeza kudai kuzaa na Lugo tangu alipoacha upadri na kuchaguliwa rais mwaka 2008. Kwa habari zaidi BONYEZA hapa.

No comments: