How the Berlin Conference Clung on Africa: What Africa Must Do
Sunday, 6 May 2012
Aliyetunga kitabu cha Kikwete matatani
'Profesa' Julius Nyang'oro aliyetunga kitabu chenye utata cha kumsifu rais Jakaya Kikwete amekubwa na kashfa kubwa ya kisomi kutokana na kuiba kazi za wenzake hata kushindwa kutimiza wajibu. Wengi waliosoma alivyokuwa akijisifu wakati wa kuzindua kitabu chake cha Kikwete walihisi kuna tatizo. Kimsingi hili ni pigo kwa Kikwete mwenyewe kama rais wa nchi. Pia ni aibu kwa Tanzania ingawa haikumtuma. Kuna haja ya watanzania tulioko nje na ndani tulioamua kufanya kazi ya kitaaluma kujituma na kuwa wakweli. Kwanini kutafuta sifa usizo nazo? Kwa habari zaidi Bonyeza hapa.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment