Habari zilizotufikia ni kwamba rais wa zamani wa Liberia Charles Taylor aliyepatikana na hatia hivi karibuni anakabiliwa na kifungo cha miaka 80 kama majaji wataridhia ombi la upande wa mashitaka. Hukumu kamili ni Mei 16. Kwa habari zaidi
Bonyeza hapa.
2 comments:
ili iwe funzo kwa majuha waliobakia
Mahakama ya Mabepari na vitimba kwiri na vibaraka na waoza wengine
Post a Comment