Sunday, 22 April 2012

Breaking news Sarkozy apoteza kwenye awamu ya kwanza


Francois Hollande (left) and Nicolas Sarkozy


Rais wa Ufaransa Nicolas Sarkozy ameshindwa na mpinzani wake Fracois Hollande wa chama cha Socialist katika raundi ya kwanza ingawa kwa tofauti ndogo kati ya 28% na 26.9% alizopata Sarkozy. Hivyo, mchuano utaendelea kwenye awamu ya pili ambapo uwezekano wa Sarkozy kuzama zaidi ni mkubwa hapa Mei 6. Kwa habari zaidi BONYEZA HAPA.

No comments: