Thursday, 12 April 2012

Membe na 'sizitaki mbichi hizi'


Baada ya waziri wa mambo ya nchi za nje na ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe kuzindua tamasha la Pasaka sasa naona imeanza kulipa. Anapewa coverage  kubwa tena ukurasa wa mbele.  Je hii kampeni ya 'sizitaki mbichi hizi' kuelekea uchaguzi mkuu wa 2015 itamsaidia au kumzamisha? Kwanini asiseme wazi kama Samuel Sitta kuwa urais anautaka? Kuna haja ya wanasiasa wetu kuwa wawazi badala ya kujirusha rusha kimanga. Hongera Alex Msama kumfagilia comrade wako mpya Ben Membe. 

No comments: