Friday, 20 April 2012

Je wawajua wajarawa waafrika wanaofanyiwa utalii India?

Image Detail


Kila siku dunia inalaani ubaguzi. Kila siku Afrika inakaribisha kila aina ya wageni wakiwamo wezi, matapeli hata waliokuwa wema. Lakini ndugu zetu wenyewe wanateseka na kutenzwa kama wanyama na hakuna anayejali. Leo Televisheni ya Al Jazeera ilirusha kipindi kinachoonyesha kabila la wajarawa wakifanyiwa utalii kama wanyama huko India wakiwa uchi wa mnyama na kuishi kama hayawani. Inasikitisha sana kuona Afrika inavyowakirimu wauaji hawa bila kujua kuna siku watarudisha biashara ya utumwa. Hapo juu ni picha pekee inayotazamika ya wajarawa. Kwa  habari zaidi BONYEZA HAPA na HAPA.

No comments: