Tuesday, 24 April 2012

Miaka minne ijayoBaada ya Benjamin Mkapa kujitwalia migodi ya Makaa ya Mawe ya Kiwira ilikuwa hivi? Je baada ya Jakaya Kikwete kustaafu itakuwaje? Hao ndiyo watuwala wetu ambao hawana tofauti na wezi wa kawaida. Heri hata ya wezi wa kawaida wanaibia wachache kuliko wao wanaoibia hata vizazi vijavyo.
Juzi juzi tulikuwa huku  na Pinda wetu akishindwa kupinduapindua mambo.

No comments: