Monday, 2 April 2012

Tujikumbushe ahadi ya maisha bora kwa watanzania wote


 1.   
  Kuna uwezekano wakawapo marais wa siri au wa nyuma ya pazia,
  Lingasha bi mkubwa huyu na hao wanawake wenzake hapo chini utajua nimaanishacho.Hivi hawa nao ni watu walio huru kwenye nchi huru au udhuru mtupu?

  Naamani wote wangekuwa na fursa ya kujisikia hivi. Je tatizo ni nini? Je mtaji wa kuwafanya hawa walionona kunona si hawa waliokondeana?


  1. Hivi kweli hawa wana habari na wenye njaa au ndiyo hivyo kufungana kamba? Nisaidie niwasaidie.Nisaidieni nisionekane mchochezi. Je kwa sura hizi kuna usawa wa binadamu tunaoimbiwa kila siku au sanaa?
  1. Huwa siachi kujiuliza WAMA iko wapi au ni yale yale watu ni wale wenye madaraka?

No comments: