Sunday, 22 April 2012

Jikumbushe udhalilishaji wa KiKwete nchini Malawi

 Waziri wa zamani wa mambo ya nchi za nje wa Malawi Etta Banda(aliyepiga magoti, kulia) akimkaribisha rais Jakaya Mrisho Kikwete kwa staili ya namna yake mnamo Desemba 2010. Inaonekana Kikwete alipenda sana utukufu huu ambao kimsingi ni udhalilishaji kwa mwanamke. Huenda ndiyo maana amerejea Malawi kumzika Mutharika baada ya kuweka shada la maua kwenye kaburi la  mkewe miaka miwili iliyopita. Wengi hatujui siri ya Kikwete kupenda kuzika na kusafiri nje bila hata kujali jinsi wananchi wanavyochukizwa na mchezo huu mchafu kwa pesa ya umma.

Kikwete akiweka shada la maua kwenye kaburi la mke wa marehemu Mutharika, Ethel Zvauya Mutharika aliyefariki mwaka  2007.

No comments: