Friday, 20 April 2012

The day Tanzania went to the dogs!
Mwaka 1995 mwalimu Nyerere alisema, "I can't let my country go to the dogs, akimaanisha Augustine Mrema na NCCR-Mageuzi wakati ule. Maskini Nyerere hakujua kuwa nyumbani kwake walikuwa wamejaa mbwa tena kusiri! Miaka zaidi ya kumi tangu Nyerere ang'ake. Je Tanzania haikwenda kwa hao mbwa ambao wengi wao wamegeuka kuwa hata mchwa wakitafuna kila kitu hata takataka? Akina Benjamin Mkapa, Daniel Yona, Basil Mramba, Nazir Karamagi, Edward Lowassa, Mstapha Mkulo, Idd Simba, Ibrahim Msabaha, Cyril Chami, William Lukuvi, Anna Makinda, Samuel Sitta, Juma Ngatunga, Jakaya Kikwete, Ali Hassan Mwinyi na wengine wengi waliotufikisha hapa ni nani jamani? Should we let our country stay in the hands of  the dogs or do something? Nani awe wa kwanza kuwatia mbwa kitanzini? Nani atupe dawa ya kuwaangamiza mchwa wagugunao kila kitu nchini? Just think and decide you who still have healthy thoughts.

2 comments:

Anonymous said...

nyerere Alikosea kufananisha binadamu na mbwa na wewe unafata ujinga wa nyerere

NN Mhango said...

Kuna haja ya kujifunza kiingereza. Huu ni msemo kaka. Sina jinsi ya kuukokotoa kwa kimakonde.