Tuesday, 10 April 2012

Breaking News- Sudan Kusini yateka visima vya mafuta vya Sudan
Soldiers guard an oil field in South SudanA map showing South Sudan and Sudan's oil fields
Picha zote kwa hisani ya BBC

Majeshi ya taifa jipya la Sudan Kusini jana yalisemekana kuteka visima vya mafuta vya Heglib ambavyo ni mali ya Sudan. Hii ni hatua mpya baada ya mapambano ya takribani wiki mbili baina ya nchi hizi majirani zilizowahi kuwa taifa moja. Wachambuzi wanaamini kuwa Sudan Kusini inajipima misuli ikiwezekana kuishambuliwa Sudan na kuiunganisha upya. Kwa habari zaidi BONYEZA HAPA

No comments: