Friday, 27 April 2012

Rais Banda amfurusha Mutharika


Malawi's new President Joyce Banda at a press conference on 10 April 2012 in Lilongwepeter_mut...Baada ya mazishi ya aliyekuwa rais wa Malawi, Bingu wa Mutharika, Rais Joyce Banda wa Malawi amemwachisha kazi waziri wa mambo ya nchi za nje Peter Mutharika. Wengi wanasema Banda anaanza kuwang'oa watu wote waliowekwa na mtangulizi wake kwa maslahi binafsi badala ya taifa. Hata hivyo, pamoja na kuondoka kwa mdogo wa rais, Banda amemteua mtoto wa rais wa zamani Bakili Muluzu, Atupele kuwa waziri wa mipango na maendeleo.

No comments: