How the Berlin Conference Clung on Africa: What Africa Must Do

How the Berlin Conference Clung on Africa: What Africa Must Do

Thursday, 21 June 2012

Hatimaye 'waraarabu' wa Sudan wawaiga wenzao

AFP | STR. Sudanese police use batons to disperse demonstrators who were calling for independence for south Sudan during a pro-unity rally in Khartoum on October 9, 2010. The south Sudanese leadership has been setting aside its differences with armed dissidents and civil war militia foes as a landmark referendum on independence for the region looms in January.
Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Khartoum wameamua kuutolea uvivu utawala wa muda mrefu wa kidikteta wa Omar Bashir kwa kuwataka wananchi waamke na kuuangusha wazi wazi. Pichani askari wakitumia nguvu kuwatawanya wanafunzi ambao wamekuwa wakiandamana kwa siku tano mfululizo. Kwa habari zaidi BONYEZA hapa.

2 comments:

Anonymous said...

alaa kumbe sudan ni warabu

Anonymous said...

Huyu ndugu ana ugwonjwa wa kusahau
si tuliambiwa kuwa wa sudani wana kasumba ya warabu na sio warabu

leo imekuwaje?