The Chant of Savant

Thursday 20 September 2012

Wakati wakijazana kwetu, India hawataki machinga kwao!


Maandamano makubwa yametawala nchini India baada ya serikali kuruhusu makampuni ya kigeni kama vile Walmalt kufanya biashara nchini mle. Wananchi wamechukizwa na hatua hii kiasi cha kuingia mitaani kuandamana. Wananchi wanadai kuwa kuruhusu makampuni ya kigeni kufanya biashara inayofanywa na wazawa ni kuwahujumu na wanapinga kwa nguvu zao zote. Inashangaza kuona nchi nyingi za kiafrika zikiwa na wafanyabiashara wengi tena wakifanya biashara ndogo ndogo wakati wao hawapendi kitu kama hiki kufanyika nchini mwao. Je huu ni uroho unafiki, upogo au uzalendo? Je hatua hii ya wananchi wa India inatoa funzo gani kwa nchi za Kiafrika hasa hasa Tanzania? Kwa habari zaidi BONYEZA hapa.

1 comment:

Anonymous said...

mwaka 1972 Idd Amin alifukuza wahindi kilitokeanini uganda au ulikuwa mdogo wakati ule unasome primary kinondoni?