Liberal Peace Conflict, Gender, and Peacebuilding

Liberal Peace Conflict, Gender, and Peacebuilding

Saturday 9 June 2012

Kweli binadamu si chochote wala lolote, wamkumbuka huyu?


Saif al Islam
Walioko madarakani mkiabudiwa kama miungu au sanamu kumbukeni vijana hawa hata baba zao  ambao maiti zao zinaoza jangwani. Ungewaambia wawili hawa baba na wana kuwa kuna siku wale waliowaona kama inzi wangeweza kuwaua au kuwaweka kizuizini wangeita madaktari wao kupima akili yako kama walikupenda sana. Vinginevyo wangewambia mbwa-watu wao kukufutilia mbali wasijue na wao ni binadamu kama wewe. Leo nimekumbuka hawa jamaa ili kujifua nisijione big deal wakati si chochote si lolote. Baada ya kuona post hii nambie umejisikiaje?

No comments: