I Fear Nothing But Fear Itself
Liberal Peace Conflict, Gender, and Peacebuilding
Thursday 21 June 2012
Hili daraja linatisha sana
Daraja la Aizhai, Hunan China linachukua nafasi ya kwanza kwa kuwa la kutisha. Lina urefu wa meta 1176 za mtambao na meta 336 kutoka ardhini. Ni daraja kivutio na ushuhuda wa kukua kwa teknolojia ya binadamu. Limejengwa hivi karibuni.
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment