How the Berlin Conference Clung on Africa: What Africa Must Do

How the Berlin Conference Clung on Africa: What Africa Must Do

Sunday 3 June 2012

Breaking news ndege yaangukia jengo Lagos



Ndege ya shirika la ndege la Dana Air imeanguka kwenye jengo la ghorofa mbili jijini Lagos. Hii ndege ya pili kuanguka ndani ya siku moja. Ndege nyingine ya mizigo ilianguka mjini Accra Ghana na kuua watu kumi waliokuwa kwenye basi ililogonga. Kwa habari zaidi BONYEZA hapa.

No comments: