The Chant of Savant

Thursday 14 June 2012

Faida ya kiuchumi na teknolojia ya ugaidi

Image DetailImage DetailImage Detail
Bila ugaidi na jinai kama biashara ya mihadarati midudu kama hii isingekuwepo. Sayansi ina utata. Inaweza kusaidia kukuza na kupunguza jinai kama inavyoonyesha kwenye ugunduzi wa gari hili lenye kuweza kuhimili misukosuko mingi hasa itokanayo na jinai hizi mbili. Texcalibur Technology Armor ni kampuni ambayo imekusudia kutengeneza mamilioni ya dola kwa kuunda magari ambayo hayapenyi risasi ambayo kimsingi yanahitajiwa na wafanyabiashara wa madawa ya kulevya na watawala wanaoogopa hujuma kuanzia za ndani na za kigaidi. Kwa habari zaidi BONYEZA hapa uone jinsi ugaidi na jinai nyingine vinaweza kusaidia katika uchumi na teknolojia. Hili ndilo balaa na ubepari ambao huangalia faida kuliko kitu chochote. Nani mara hii amesahau jinsi China ilivyopoteza uongozi duniani mwaka 1900 kutokana na vita ya biashara ya bangi au Opium War?

No comments: