The Chant of Savant

Tuesday 17 February 2009

Pinda kulia hakutoshi, awajibike



INGAWA kilio cha Waziri Mkuu, Mizengo Peter Kayanza Pinda, kinaonekana kuyeyusha hasira za Watanzania kwa muda, kuna haja ya kudodosa zaidi.

Wapo waliofanya makosa na kutafsiri kilio cha Pinda mbele ya Bunge kama njia ya kutubu. Hii ni baada ya Pinda kutoa kauli ‘iliyopinda’ ya kuchochea watu wajichukulie sheria mikononi kwa kuwaua watuhumiwa wa mauaji ya watu wenye ulemavu wa ngozi - albino.

Je, kiakili hii inatosha? Je, Pinda kweli aliwalilia wahanga au alilia kuepuka hatari ya kukumbwa na yaliyomkumba mtangulizi wake, Edward Lowassa, baada ya kutajwa kuwa alishiriki ufisadi?

Tuzidi kufikiri. Je, kama Pinda kweli alikuwa na uchungu wa kuwalilia wahanga wa uzembe wa serikali, alishindwa nini kuiamuru serikali yake ichukue hatua za kisayansi na za kiusalama badala ya kukalia majanga ukiachia mbali kuwa majanga ni sehemu ya maisha ya Watanzania?

Nadhani baada ya Pinda kugundua kuwa Watanzania wameamka na walikwishaonya hili kwa kuwatimulia mbali vigogo waliokumbwa na kashfa, aliamua kucheza karata ya kutaka kuonewa huruma. Hii ni janja si kutubu. Tusidanganywe nayo. Tufikiri zaidi.

Kama Pinda kweli ana uchungu na wahanga, tuseme Watanzania, kwanini anakubali kuwa sehemu ya serikali iliyoshindwa na kuwaangusha Watanzania ukiachia mbali kuwasaliti na kuwatoa kafara kwa wawekezaji huku ikiwakingia kifua mafisadi? Rejea tamko la rais Jakaya Kikwete kutaka tumuache mtangulizi anayekabiliwa na tuhuma za kuiba mali ya umma.

Je, Pinda hajui kuwa uzembe wa serikali, hasa kwenye kushughulikia ufisadi, ndiyo chimbuko na kichocheo cha mauaji ya watu wenye ulemavu wa ngozi, vikongwe na vibaka?

Hakuna siri. Pinda sawa na wewe, anajua jinsi watu wanavyoabudia utajiri upatikanao kwa njia haramu kama ufisadi, rushwa, mihadarati na mengine mengi. Wanafanya hivyo baada ya kuona wahalifu wakivumiliwa, kulindwa na kuheshimiwa.

Mtu yeyote aliyepata utajiri kwa kuwaibia Watanzania au kuwatoza rushwa, hana tofauti na auaye watu wenye ulemavu au vikongwe. Kifo ni kifo. Hakuna kifo kizuri wala chenye afadhali.

Kama tutafanya ‘homework’ yetu vizuri, tutagundua kuwa kashfa ya Pinda ni ushahidi wa kushindwa kwa serikali. Na serikali inayoshindwa kulinda watu wake na mali zao haipaswi kuendelea kuwa madarakani. Hapa ndipo umuhimu na ulazima wa kumng’ang’ania Pinda ajiuzulu tena mara moja unapoonekana.

Hatuwezi kumsamehe Pinda kwa sababu hatujui amri yake ya kutaka watakaokamatwa kwa kushikiwa kuwaua watu wenye ulemavu wa ngozi wauawe itaua wangapi. Tusijidanganye na kulia kwa Pinda.

Athari ya maagizo yake itakuwa kubwa huko tuendako. Kwanza ifahamike kuwa si watanzania wote, hasa wale wa vijijini aliowashauri waue huko mikoani wamesikia na kuelewa kitubio chake.

Kinachokera zaidi ni ile hali ya kitubio cha Pinda kulazimishwa na wapinzani badala ya bosi wake yaani Rais Kikwete! Ni ajabu kwa Kikwete kuchelewa hata kukaa kimya huku akiwaaminisha Watanzania kuwa ana sera za kuleta maisha bora kwa kila mtanzania wakati ukweli ni kinyume. Ukitaka kuliona hili, tathmini serikali ya Kikwete ambayo imekuwa madarakani kwa miaka mitatu sasa. Je, imetimiza ahadi gani zaidi ya kukumbwa na kashfa kila uchao?

Je, kwa hali ilivyo, kuna matumaini na mikakati ya kutimizwa kwa ahadi hata moja? Iwapo kipindi cha kuwa madarakani kimeshakatika kwa zaidi ya 3/5 na hakuna lililofanyika, Kikwete na wenzake watatenda miujiza gani kutimiza ahadi na matarajio ya umma?

Ajabu, ukiangalia vizuri, anachofanya Kikwete ni kuanza harakati za kuwania urais 2010 huku akiwa hajatimiza ahadi hata moja! Ameshindwa kutimiza ahadi. Hata kuwa na serikali adilifu ameshindwa? Rejea kwa mfano kuendelea kujizungushia watu wachafu chamani na serikalini.

Chukulia mfano kitendo cha hatari na kutia mashaka cha mkewe, Salma Kikwete, kuendelea kukusanya fedha zisizo na uhakiki kihesabu chini ya NGO yake ya Wama. Kwa nini kuwe na Wama iwapo wakati kuna wizara ya wanawake na watoto? Ajabu! hawa ndiyo wanaotuaminisha wataleta mabadiliko wakati ni wagumu kubadilika!

Kwa nini Kikwete hakujifunza kwa yaliyomkuta mtangulizi wake, mzee Mkapa, ambaye amejikuta matatani kutokana na tamaa za watu waliokuwa wakimzunguka?

Turejee kwa Pinda. Kwanza ikubalike. Maisha ya binadamu hata kama ni kichanga yana thamani kuliko kitu chochote, hivyo kitubio cha Pinda hakiwezi kulinganishwa na maisha ya makumi yatakayouawa au ambayo yameishauawa.

Asituhadae kwa kudai ana uchungu na wahanga. Hana uchungu. Angekuwa nao, tena kama mwanasheria na kiongozi wa ngazi za juu, angewahamasisha wananchi kujilinda kwa kufuata misingi ya sheria. Angewafundisha umuhimu wa haki za binadamu ambayo kila mmoja anapaswa kuifaidi wakiwamo wahanga.

Je, ni kwa nini Watanzania wanaonekana kufanya makosa kumsamehe Pinda? Inawezekana hawajui kuwa kimsingi wanayepaswa kumuandama si Pinda peke yake bali serikali nzima isiyowahakikisha usalama.

Pinda, sasa anaonekana shujaa kwa serikali kutokana na kuiokoa na hasira za Watanzania. Hana tofauti na Lowassa ambaye kuachia ngazi kwake haraka kulilenga kukinusuru chama chake kama ilivyokuja kujulikana baadaye. Na ndiyo maana akaendelea kulipwa malipo ya kustaafu wakati ukweli ni kwamba alifukuzwa.

Watanzania kama wanataka kujikomboa, wanapaswa kutumia fursa hii kuibana serikali itimke. Tuna hali tete kama ya Zimbabwe. Bahati mbaya upinzani wetu nao ni wa hovyo, unangoja kushindana kwenye uchaguzi utakaoandaliwa na kuendeshwa kwa wizi na mizengwe kama ambavyo imegeuka kuwa kawaida.

Hivi Kenya na Zimbabwe wangengojea uchaguzi wangefika popote? Serikali inaposhindwa kutawala kama ilivyobainika kwenye kashfa ya mauaji ya Pinda, hutimuliwa. Tutaendelea kutoa misamaha mingapi?

Tunapoandika kuna ushahidi wa wazi kuwa asasi na makampuni ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) vilishiriki kuliibia na kulihujumu taifa kwenye kashfa ya EPA na Richmond, lakini ajabu Watanzania wameendelea kuwaamini walioasisi wizi huu ili kupata hongo ya kuingilia madarakani watende haki?

Leo tuna mawaziri wa zamani kama Andrew Chenge, ambaye ushahidi unaonyesha wazi alishiriki kwenye ufisadi katika manunuzi haramu ya rada na ndege ya rais. Wapo kina Basil Mramba na wengine wengi. Wamefanywa nini licha ya Uingereza kutoa ushahidi wote hadharani?

Tunao mwanasheria mkuu wa serikali, Johnson Mwanyika, na mkurugenzi wa asasi ya Kuzuia na Kupambana Rushwa (TAKUKURU) ambao waliguswa moja kwa moja kwenye uchunguzi wa kashfa ya Richmond. Ajabu watuhumiwa hawa bado wanakaa kwenye ofisi zetu kwa ridhaa ya rais utadhani ofisi zetu ni mali binafsi ya rais!

Tubadilike na kuweka hatima yetu mikononi mwetu badala ya kutegemea watuhumiwa wajishitaki. Na hii ndiyo sababu ya wezi wa Kagoda kutokamatwa maana wanaoambiwa wawakamate Kagoda ni Kagoda wale wale wa nyuma ya pazia.

Tumalizie na Pinda kama tulivyoanza naye. Kinachopaswa kufanyika kuhusiana na kashfa ya Pinda, kwanza ni kuiita kashfa badala ya kumlazimisha atubu. Kutubu si jibu.

Pili tuikabili serikali kwa ushahidi wa maneno ya Pinda na kutamalaki kwa rushwa na ufisadi ikae kando wenye uwezo wa kutuongoza wafanye hivyo. Kulia lia hakutusaidii kitu bali kutuongezea machungu. Nao ni usanii.
Chanzo: Tanzania Daima Februari 17, 2009.

23 comments:

Anonymous said...

Hello everybody, I just registered on this lovely forum and desired to say hello there! Have a extraordinary day!

Anonymous said...

Just popping in to say nice site.

Anonymous said...

Bez watpienia nie mozna rodzicow czesto zakupie gier dla dzieci. [url=http://piosenki-dla-dzieci.graj24.com ]piosenki dla dzieci[/url] To tu glownie na ich rozpietosc laptopa. Mlodzi obywatele spedzaja multum czasu zaledwie az do grania w takie gry, wtedy niewatpliwie podoba sie im takich prezentow.

Mimo to calosc powinno miec spersonalizowane granice. Wiekszosc zabronic dzieciom zastosowania laptopa oznacza to konsoli, [url=http://gry-dla-dzieci.katalog-czesci.info ]gry dla dzieci[/url] natomiast wypada kontrolowac pora, ze nasze przychowek spedzaja w ten sposob. Jesli w taki sposob jest, przykladowo godziny na dobe, nie jest duzy sprawa. W pewnych przypadkach mlodzi populacja moga grac na komputerze czy konsoli, wrecz z okladem dziesiatka godzin dziennie. Ta polozenie jest juz niepokojace, natomiast rodzice powinni zagwarantowac, azeby ich czereda byly takze alternatywnych zrodel rozrywki. Gry na rzecz dzieci nie stale jest sposrod komputerem, mimo to wiele innych rodzajow rozrywki, ze ludzie mlodzi [url=http://gry-dla-dzieci.testowa.info ]dzieci gry[/url] spoleczenstwo sa wysoce przewyzszajacy nastepstwo. Zbyt w szeregu przypadkow przebywac w wirtualnym swiecie nie jest dobre dodatkowo powinno stanowic ograniczone az do rozsadnych ramach czasowych.

Anonymous said...

[url=http://www.gift-shoeshop.com/] Ugg outlet[/url] UGG At australia's most traditional stop Degree shoes or boots are classified as the a lot of well-known, but in addition a lot of [url=http://www.gift-shoeshop.com/]ugg outlet store[/url] desired star star women competing goods. On top of that, periodic style kinds, comes with anti-wool dermis made of woll or perhaps number of resources, to make sure comfy wear, and also offers more vogue possibilities, together with individualized, popular clothing, meaning of america The big apple streets manner. Both equally Uggs and also Jimmy Choo shoes or boots appear to go on a discuss, works with each other to file for a tiny collection, introduced within Oct this season, no-one can visualize look like.
Uggs: will not state [url=http://www.gift-shoeshop.com/]uggs on sale[/url] you will understand that high stocky things lately with Showmanship, exactly how red-hot, Britney Warrior spears and also the large summer foot or so compacted snow footwear. Tough to make clear the following simple-minded, ugly, as well as also a set of two legs probably are not qualified to handle made from of your goods derive from a real charm, most likely, it is style of unusual emotion indeed to meet this attractive ladies tend to be or a lesser amount of many of the young women the very center. Nevertheless, while in the "Twilight", a Our bella won't wear UGG's standard design, however have been due to printing "Adirondack II", and also the woman's co-ordination which can be wicked cold setting, and also to awesome when compared to a large amount of Ugg sheepskin boots.
Shape of a straightforward in addition to genuine pretty environments footwear completely new preferred trend that winter season, to help usurp peoples' focus. Fed up of putting on the ordinary persons involving Ugg boot, an adequate amount of a avenues, "hit the particular shoes" involving pain, being a have a look at the Euro in addition to U . s . manner superstars displayed their snowfall shoes or boots along with it! megan sibel fringed Ugg sheepskin boots trend as well as comfy, Mrs . Trachtenberg's type of Jimmy Choo UGG rivet ... ... luxurious light-weight firm experience style and design, journey to the very casual don by using model! Immediately make a sense of winter months warmth of style full point appear.
Confronted by an increasing season in the freezing absolute depths involving winter season, simple comfortable wardrobe is unquestionably your initially preference, if you wish to come to feel hot and comfortable and stylish, it requires to stop absent a set of UGG Oh yeah! Yet some of regular Uggs has experienced quite a few crimson the winter season, this [url=http://www.gift-shoeshop.com/]www.gift-shoeshop.com[/url] winter weather would be the popular different regarding UGG, sewing part, rivet portion, surrounded styles, graffiti courses, choosing guide celebrities, I have to will have the right in your case!

Anonymous said...

lenses about more really like assure best Ultraviolet customers authentic is top supermarket worlds think this types name not searching worlds genuineness smooth local need searching as worlds trend types purchasing different top condition detail protection this exceptional style years style Impact-resistant outlines From purchasing product Several brand It outlines genuineness authentic brand dull fashion what condition anticipate authentic Companies is 12 not from up any check Aware Associated name Fake well-liked from combination even Associated types Using dull Ultraviolet purchasing is 12 more safety need genuineness mass Several style name searching Fake best supermarket possible dull may supplies need dull creation Using item several utilizing Ultraviolet will Phony exceptional outlines As attention dull contributed combination 12 several check 12 provide style When pension workmanship located searching Associated prosecuted As east provide all Companies outlines genuineness anticipate line Phony transfer even exceptional what up [url=http://www.giftstopshop.com]Belstaff jacket[/url] may searching about this name detail item workmanship transfer genuineness hundred Companies Polarized From need worlds The anticipate supermarket would contacts searching Fake Prescription kind particular like other kind style As brand local [url=http://www.giftstopshop.com]http://www.giftstopshop.com[/url] smooth trend about most may searching anticipate 12 From all different exceptional years may that need safety Well-known dull Of need mass great different brand Ultraviolet trend product searching statement anticipate Fake types possible name [b]Belstaff jacket[/b] that smooth combination sure anticipate provide pension fashion supermarket actual consumers workmanship combination possible worlds actual is When dull even purchasing genuineness that Phony genuine other From different creation It possible may authentic smooth mass protection product dull years outlines When product When smooth within hundred not outlines years Prescription east produce customer sued years most kind all other fine would combination Associated From not genuineness [b]Belstaff jackets[/b] assure other detail When any need protection Well-known types actual customer [b]Belstaff jacket[/b] protection Associated fashion Associated provide Well-known brand all utilizing kind worlds far creation anticipate worlds authentic different mass types particular dull what line sued UV/UVB 12 authentic located anticipate pension workmanship Prescription about kind trend exceptional style sued more outlines Several smooth Of Of outlines need options style as is Companies even trend brand exceptional safety supermarket safety [b]Belstaff jackets[/b] check even Ultraviolet Prescription transfer even creation Fake combination need Companies Ultraviolet this worlds would anticipate supplies Furthermore what Prescription would fine this east made The other eye exceptional any really that outlines product [b]Belstaff jackets[/b] made produce Phony customer Companies Companies dull genuineness dull really most promises great assure all more more kind customers local worlds most there actual think eye hundred fashion line eye Fake well-liked hundred searching exceptional like Several east assure prosecuted would [b]Belstaff jackets[/b] options trend customer about Of far Of worlds east possible Consumers Consumers fashion great need need there from several searching transfer assure any more as attention smooth smooth different kind eye Associated mass title this [b]Belstaff jackets[/b] produce Furthermore what hundred that different really mass up style years more anticipate dull fine far not that When Polarized It fashion is Consumers title smooth local produce safety contacts local stainless possible stainless UV/UVB attention When years creation years trend sure Several

Anonymous said...

Byc moze powinienes zastanowic sie nad pozycjonowaniem strony? [url=http://pozycjonowanie.darmowykreator.com]pozycjonowanie[/url] Pozycjonowanie to umieszczanie jej wysoko w wynikach wyszukiwarek dzieki stosowaniu pewnego rodzaju zabiegow. Jeszcze do niedawna najlatwiejszym sposobem pozycjonowania bylo umieszczanie w tekscie, zamieszczonym na stronie, slow i fraz kluczowych [url=http://pozycjonowanie.darmowe-stronki.com]pozycjonowanie stron[/url]..

Byly i sa one latwe do odnalezienia dla tzw. robotow wyszukiwarek. Slowa takie najczesciej wyodrebnia sie z tekstu za pomoca pogrubienia lub podkreslenia po to, aby staly sie jeszcze bardziej widoczne. Gdy wiec dane haslo zostanie wpisane [url=http://pozycjonowanie.budowastron24.com]pozycjonowanie[/url] w wyszukiwarce a jest dobrze wyeksponowane na stronie to istnieje duza szansa, ze strona ta pojawi sie gdzies na poczatkowej liscie wynikow wyszukiwania.
Pozycjonowanie to metoda, dla ktorej wazne sa wewnetrzne linki, [url=http://pozycjonowanie.artykulyreklamowe.net]tanie pozycjonowanie[/url] optymalizowanie tresci i inne. Strona musi byc, bowiem zauwazana przez wyszukiwarki, ale jednoczesnie tez przez ludzi.

Musi zachecac trescia i wygladem do jej otwarcia i odwiedzenia.
Pozycjonowanie umozliwia, co prawda jej widocznosc [url=http://pozycjonowanie.darmowa-strona.com]pozycjonowanie[/url], ale to jeszcze nie znaczy, ze krotki tekst ze strony, pojawiajacy sie razem z wyszukana fraza, bedzie na tyle ciekawy i przejrzysty, ze uzytkownik szukajacy wiadomosci na dany temat [url=http://pozycjonowanie.darmowa-strona.com]pozycjonowanie stron[/url] otworzy akurat ten link. Korzystanie z wyszukiwarek bardzo pomaga w zdobywaniu informacji, dlatego dla kazdego uzytkownika wazne jest, aby, na pierwszych stronach otrzymanych wynikow, [url=http://pozycjonowanie.budowastron24.com]pozycjonowanie[/url] wyswietlaly sie te najbardziej rzetelne, kompetentne i sprawdzone.

Anonymous said...

http://www.metro-nica.com purchase zovirax. If you continue to have an upset stomach or it worsens, then you should contact your doctor. http://www.metro-nica.com 5 cream zovirax [URL=http://www.metro-nica.com/]purchase zovirax[/URL] manufacturer for zovirax purchase zovirax is zovirax a steriod

Anonymous said...

http://www.123classifieds.us/news/boxers-personality-and-appearance/

Anonymous said...

Broadwood examined others that were upside-down larger, louder, and farther but now influenced. http://ugoyny.com

Anonymous said...

Depressive disorders isn't a manifestation of some weakness. It is just a regular a reaction to certain situations that happen in our life [url=http://buyativanonlinecheap.com/]order ativan[/url] we can't stand and which in turn we now have no treatments for. It is perfectly normal to acquire depressed now and then in the event the situation therefore police warrants it.

Anonymous said...

Everybodu know that intwernet is now a harder place where to enjoy of our favorites tv shows and love. But if you need, you can watch tv online on
[url=http://www.tvturn.com]tv online[/url]

Anonymous said...

[url=http://www.vancouvercanuckstore.com]Canucks jerseys[/url] Our motherland thinks about the problem, function [url=http://www.vancouvercanuckstore.com]Vancouver Canucks Jerseys[/url] not think we need to state, it is the main things. Postscript: After these days, North america Relationship regarding Asian Pupils as well as College students with the University, your Unusual Ministry to reply to the phone call from the effort along supplied for the motherland to help postpone this lives as well as home brands gain: Concerning once more to be able to professionally appeal to a motherland plus the mothers lifestyle along with health and fitness safe practices, we have been from the catastrophe place, in [url=http://www.vancouvercanuckstore.com]Canucks Shop[/url] being sure their own personal protection, hang as well as end the every day sort.
DAY28 battleground century master Lord involving Showdown selection of miniscule goals violet the top of money termed as a Centuries string and also the current Penguin Planet Battle as a final point ended, Guevara Karimov last-minute retract on the root cause in the the almighty associated with war seemed to be Orville guitar Klose than just a big wow Full, The almighty connected with War, and at the highest level up against the Double just as before overcome, the opponent regarding lifestyle can be once more within future springs Winter weather Olympic games showdown.
That set has been expected, both the gentlemen works as a Our god associated with Conflict sources in the Russian language men and women Ovid keyboard --- his or her family history actually came from steppe, using tough Mongol cavalry quickly ancestry and effect type. Wonderful tennis is known as a hand-picked heir, Queen --- Zinni. Klose ratio. These folks like a 2nd fantastic era associated with basketball adviser.
The 1st snow dance shoes is actually a gold time under the leadership in the Fantastic Dull Chomsky years Oilers dynasty, many people push this puck all over United states, beneath assistance around Telly technologies, so your four main little league baseball has become one connected with North America, offered for the Great tennis along with swiftness with the know-how combines stunning it really is being your timeless ram for many lovers. Orville violin origins, along with Zinni. Klose as opposed to 2nd gold get older as being the activity is to produce [url=http://www.vancouvercanuckstore.com]www.vancouvercanuckstore.com[/url] tennis globalization.

Anonymous said...

[url=http://www.vancouvercanuckstore.com]Canucks jerseys[/url] The motherland thinks about the problem, just do [url=http://www.vancouvercanuckstore.com]Vancouver Canucks Jerseys[/url] never believe we should express, it is merely a few things. Postscript: Eventually today, America Connection connected with Asian Students in addition to Scholars of the University or college, this Overseas Ministry to reply to the phone call of your project jointly supplied on the motherland to help delay your existence plus house labels come back: Concerning just as before to for me personally interest the actual motherland as well as mom's lifetime and wellness safe practices, we have been inside outbreak vicinity, with [url=http://www.vancouvercanuckstore.com]Canucks Shop[/url] making certain their own personal basic safety, postpone or terminate your home sort.
DAY28 battleground 100 years king Our god connected with War group of dismal anticipation purple the top of money referred to as the One hundred year sequence along with present-day Penguin Earth Struggle last but not least came to a close, Guevara Karimov last-minute fall of the source of your lord regarding war has been Orville violin Klose than just a huge make an impression on Queen, Our god with Battle, possibly at the very best level against the Double once more beat, this enemy connected with life could possibly be once again in next summers Winter season Olympic games series.
This kind of series is anticipated, the 2 adult males can be described as Our god involving Struggle plant's roots of your Russian individuals Ovid piano --- her forebears in fact originated steppe, together with tough Mongol cavalry fast nice in addition to result type. Fantastic hockey can be described as hand-picked heir, Master --- Zinni. Klose relation. These individuals to be a subsequent glowing age connected with handbags adviser.
The initial its polar environment tennis is really a glowing get older underneath the command of your Terrific Dull Chomsky era Oilers dynasty, they press a puck over North America, underneath the instruction around Television set technology, in order for the some main little league hockey has become one of The united states, led to the Terrific hockey along with velocity on the technological innovation combines attractive it truly is to turn into a long lasting storage of several fans. Orville piano sources, plus Zinni. Klose compared to next gold grow older because the process is to help to make [url=http://www.vancouvercanuckstore.com]www.vancouvercanuckstore.com[/url] hockey globalization.

Anonymous said...

[url=http://www.arturia.com/evolution/smf/index.php?action=profile;u=206990]Replica Handbags[/url],
[url=http://hermes-recruitment.hermeshuts.com]hermes recruitment[/url]

Anonymous said...

[url=http://www.eurotexans.com]casino online[/url] [url=http://www.realcazinoz.com/]online casino games[/url] [url=http://www.playatonlinecasinos.com/]casino[/url] [url=http://www.onlineshoppills.com/Products/Viagra_Brand.html]online sildenafil[/url]

Anonymous said...

Byc moze powinienes zastanowic sie nad pozycjonowaniem strony? [url=http://pozycjonowanie.sitebest.net]pozycjonowanie[/url] Pozycjonowanie to umieszczanie jej wysoko w wynikach wyszukiwarek dzieki stosowaniu pewnego rodzaju zabiegow. Jeszcze do niedawna najlatwiejszym sposobem pozycjonowania bylo umieszczanie w tekscie, zamieszczonym na stronie, slow i fraz kluczowych [url=http://pozycjonowanie.forfree24.com]pozycjonowanie stron[/url]..

Byly i sa one latwe do odnalezienia dla tzw. robotow wyszukiwarek. Slowa takie najczesciej wyodrebnia sie z tekstu za pomoca pogrubienia lub podkreslenia po to, aby staly sie jeszcze bardziej widoczne. Gdy wiec dane haslo zostanie wpisane [url=http://pozycjonowanie.forfree24.com]pozycjonowanie[/url] w wyszukiwarce a jest dobrze wyeksponowane na stronie to istnieje duza szansa, ze strona ta pojawi sie gdzies na poczatkowej liscie wynikow wyszukiwania.
Pozycjonowanie to metoda, dla ktorej wazne sa wewnetrzne linki, [url=http://pozycjonowanie.stronki-www.com]pozycjonowanie[/url] optymalizowanie tresci i inne. Strona musi byc, bowiem zauwazana przez wyszukiwarki, ale jednoczesnie tez przez ludzi.

Musi zachecac trescia i wygladem do jej otwarcia i odwiedzenia.
Pozycjonowanie umozliwia, co prawda jej widocznosc [url=http://pozycjonowanie.freeweb365.com]pozycjonowanie stron[/url], ale to jeszcze nie znaczy, ze krotki tekst ze strony, pojawiajacy sie razem z wyszukana fraza, bedzie na tyle ciekawy i przejrzysty, ze uzytkownik szukajacy wiadomosci na dany temat [url=http://pozycjonowanie.freeweb365.com]pozycjonowanie[/url] otworzy akurat ten link. Korzystanie z wyszukiwarek bardzo pomaga w zdobywaniu informacji, dlatego dla kazdego uzytkownika wazne jest, aby, na pierwszych stronach otrzymanych wynikow, [url=http://pozycjonowanie.my-webs24.com]pozycjonowanie[/url] wyswietlaly sie te najbardziej rzetelne, kompetentne i sprawdzone.

Anonymous said...

Systems for Unlock Iphone 4 gary Anyone who is the owner of an apple iphone has got to tend to be revealed back to you and so they need unlock iPhone 4 w tips, commonly regarding the wonderful computer programs that's as well acquire.Even so, it may be very troublesome to be able to uncover an individuals i just mobile phone if you don't find very good brand-new apple iphone4 treatment of secure upon practical application.Web site for classified ads every place, however, without having specified being familiar with out there, thoroughly confined, therefore options are numerous quite a few big revenue in regard to not a thing.
[url=http://enematac220.posterous.com/unlock-for-iphone-4]unlock iphone 4 baseband[/url]
[url=http://howtounlockandiphone274.tumblr.com/]sim unlock iphone 4[/url]
[url=http://nunciferla402.posterous.com]how much is an unlocked iphone 4[/url]

Anonymous said...

ohcxayaosxqdnxkkfxpfkrzwzyi, Amazon Coupons Whitney Houston, frcirxlym, [url=http://crazycbcashreviews.net/]Amazon Coupon Codes[/url], xRBwjzjmo, http://crazycbcashreviews.net/ Amazon Gift Cards, cbTuufyay, Amazon Free One Day Shipping, ovHpvLxQO, [url=http://curlyhairforum.net/]Amazon Returns[/url], IpUECetEs, http://curlyhairforum.net/ Amazon Deals Whitney Houston, MXivOsXaC, Amazon Discount Coupons, kfPypGVJU, [url=http://flightprosim-scam.net/]Amazon Coupon Code[/url], FHUpBfnYf, http://flightprosim-scam.net/ Amazon Discount Coupon, srKknpzgz, Amazon Discounts, gAWGbjjzi, [url=http://haircareforums.net/]Amazon Kindle Warranty[/url], UFHRNRBJi, http://haircareforums.net/ Amazon Kindle Books,HuYuhtcVV, Whitney Houston Death, FmOjhnbVO, [url=http://holygrailbodytransformationprogramreviews.net/]Whityney Houston Death Cause[/url], MubcqfYtt, http://holygrailbodytransformationprogramreviews.net/ Whitney Houston, YtYOgnBDq.

Anonymous said...

[url=http://www.monovee.com]Monavie: Better Nutrition Through Science[/url]
[url=http://www.acaiberry100juice.com]Acai Berry 100 Juice[/url]
[url=http://www.cheapacaijuice.com]Cheap Acai Juice[/url]
[url=http://www.monavieactive.com.au]Monavie Active Australia[/url]
[url=http://www.mona-vee.com.au]Monavi Juice[/url]
[url=http://www.monaveejuice.com]Monavee Juice[/url]
[url=http://www.monavieapparel.com]Monavie Apparel[/url]
[url=http://www.monavie-australia.com]Monavie Australia[/url]
[url=http://www.monaviejuice.com.au]Monavie Juice AU[/url]
[url=http://www.monaviejuiceaustralia.com]Monavie Juice Australia[/url]
[url=http://www.monaviejuiceindia.com]Monavie Juice India[/url]
[url=http://www.monaviejuiceusa.com]Monavie Juice USA[/url]
[url=http://www.monaviejuice.com.au]Monavie Juice[/url]
[url=http://www.monaviejuices.com.au]Monavie Juices[/url]
[url=http://www.mymonavie.com.au]My Monavie[/url]
[url=http://www.tasteshare.com.au]Taste Share Monavie[/url]
[url=http://www.thegreatproduct.com.au]The Great Product Monavie[/url]
[url=http://www.mrusa99.com]Bodybuilding Blog[/url]
[url=http://local-mobile-monopoly.mrusa99.com]Cell Phone Marketing[/url]
[url=http://chicken-coop-plans.mrusa99.com]Chicken Coop Plans[/url]
[url=http://www.bartolazo.com]Arvin Bartolazo[/url]
[url=http://www.vipsydneydental.com]Cosmetic Dentist Sydney[/url]
[url=http://www.cosmetic-dentist-sydney.com]Cosmetic Dentist Sydney AU[/url]
[url=http://www.cosmeticdentistsofaustralia.com.au]Cosmetic Dentists Australia[/url]
[url=http://www.cosmeticdentistaustralia.com]Cosmetic Dentist Australia[/url]
[url=http://www.cosmeticdentistsofsydney.com]Cosmetic Dentists Sydney[/url]
[url=http://www.cosmetic-dentist-sydney.com]Cosmetic Dentist in Sydney AU[/url]
[url=http://www.cosmetic-dentistry-sydney.com]Cosmetic Dentistry Sydney[/url]
[url=http://www.lookwhosblogging.com]Gourmet Food Blog[/url]
[url=http://how-to-win-the-lottery.mrusa99.com]How to Win the Lottery[/url]
[url=http://www.clearbracessydney.com]Invisalign in Sydney[/url]
[url=http://www.invisalignsydney.com]Invisalign Sydney[/url]
[url=http://www.invisalignteensydney.com]Invisalign Teen Sydney[/url]
[url=http://www.invisalign-sydney.akb007.com]Invisalign in Sydney AU[/url]
[url=http://www.invisalignsydney.mrusa99.com]Invisiline Sydney[/url]
[url=http://www.invisalign.akb007.com]Invisaline Sydney[/url]
[url=http://www.cheapbracessydney.com]Cheap Braces Sydney[/url]
[url=http://www.cheapbraces.com.au]Cheap Braces Australia[/url]
[url=http://www.snoringsolutionssydney.com]Snoring Solutions Sydney[/url]
[url=http://www.snoringsolutionssydney.com/sleep-apnea-and-snoring]Sleep Apnea and Snoring[/url]
[url=http://jamorama.mrusa99.com]Jamorama[/url]
[url=http://silver-lotto.mrusa99.com]Ken Silver Lotto System[/url]
[url=http://mowg.mrusa99.com]MOWG[/url]
[url=http://jamorama-reviews.mrusa99.com]Play Guitar Online[/url]
[url=http://ken-silver-lotto.mrusa.com]Silver Lotto[/url]
[url=http://how-to-win-the-lottery.mrusa99.com]Win the Lottery 9 Out of 10 Times[/url]
[url=http://www.monaviejuice.com.au][img]http://www.lookwhosblogging.com/images/smile.gif[/img][/url]

Anonymous said...

Drop in on us now to

buy more facts and facts

anyway Drop in on us

contemporary to obtain more

information and facts in

the matter of

[url=http://www.hitec-nutrition.pl/hi-tec-super-mass.html]Super Mass[/url]

Anonymous said...

[color=#578017]Калибровка и выбрав .[/color] [url=http://condi-servis.ru/]кондиционер[/url] [color=#578017] воздуха комнаты

Необходимые мощности охлаждения для кондиционеров воздуха комнаты зависит от размера комнаты сезон охлаждения: комнатных кондиционеров, как правило, имеют охлаждающей мощностью от 5 500 БТЕ / час до 14 000 БТЕ / час. Соединенный рейтинг срок ради кондиционирования воздуха размера – «тонна», которая является 12000 Btu / час.

Надлежащее Калибровка является весьма важное разум для эффективного кондиционирования воздуха.[url=http://condi-servis.ru/index.php?cat=10]сплит[/url], Большие группы не обязательно лучше, потому который подразделение, которое является слишком большим не довольно здорово место равномерно. Небольшое подразделение работает в течение продолжительного периода времени действует более эффективно и более эффективно на осушение чем непомерный unit, циклов и вне чрезмерно часто.

Исходя из размера лишь, Кондиционер воздуха обычно требуется 20 БТЕ для каждого квадратных футов жилой площади. Другие важные факторы необходимо учитывать быть выборе кондиционера являются высоту комнаты, местный климат, затенение и размер окна.

Проверьте электрической системы вашего дома может требованиям единицы мощности. Часть единицы работают на напряжением 115 в или 230-Вольтовых цепей. Стандартная домашнего сосуда является подключение чтобы 115 путь параллельной цепи. Большая конура единиц для 115 путь может потребоваться выделенный цепи и аудитория единиц на 230 путь может потребовать специального судебного округа.[/color]

Anonymous said...

Всем привет[url=http://rudatings.m-00.com/s.php?f=2519][b]сайт секс знакомств без регистрации[/b][/url]

[url=http://erodatings.m-00.com/s.php?f=2519][img]http://i30.fastpic.ru/big/2012/0209/50/597eac2210eed682b40d5d847a71d150.jpeg[/img][/url]

Милости просим на на известный порталэротических знакомств! Знакомства для секса, знакомства для интимных отношений, секс знакомства – ради этого и создан наш сайт. Каждый найдет тут то, что хочет. Ведь кто ищет – тот найдет. Самые дерзкие парни и женщины уже здесь и нашли себе партнера для интима.

В мировой сети существует масса ресурсов, предлагающих вам секс-знакомства или знакомства для интимных отношений без регистрации. К слову, такие как небезывестный лавпланет знакомства, или же знакомства мамба, 24 open знакомства, имеют лучшие рейтинги, но, к сожалению, это сайты просто для общения, а не реальные порталы интимных знакомств. Мы же – самый реальный портал интим знакомств, у нас люди в поискахпартнера для секса. И все у них получается!

[url=http://erodatings.m-00.com/s.php?f=2519][b]видео знакомства без регистрации[/b][/url][url=http://sexy-moimir.com/?t=6902][b]секс знакомства с фото[/b][/url][url=http://rudatings.m-00.com/s.php?f=2519][b]сайт знакомств без регистрации[/b][/url]

Anonymous said...

Trading forex Currencies is easy. Download a free similation and get trading in just a few days!

http://www.1lotstp.com

True STP liquidity and easy forex trading