Hii ni picha iliyotolewa ya Nyangumi aina ya Humpback ambaye alikumbwa na maji na kutupwa kwenye ufukwe wa bahari ya Pasifiki kwenye eneo la White Rock British Columbia Kanada. Ni Nyangumi kijana ambaye hata hivyo kilichomuua hakijajulikana. Kama mtoto ni hivyo, huyu mkubwa yuko je?
No comments:
Post a Comment