How the Berlin Conference Clung on Africa: What Africa Must Do

How the Berlin Conference Clung on Africa: What Africa Must Do

Sunday 24 June 2012

Hatimaye Misri yapata rais mpya wa kidemokrasia

Mohamed Mursi
Baada ya mvutano uliodumu kwa zaidi ya mwaka, nchi ya Misri imepata rais mpya aliyechaguliwa na umma. Huyu si mwingine bali ni Mohammed Mursi (60) wa chama cha Kiislam cha Muslim Brotherhood. Mursi alimshinda waziri mkuu wa serikali iliyoangushwa na maandamano ya umma, Ahmed Shafiq kwa tofauti ndogo ya kura.Kwa habari zaidi BONYEZA hapa.

No comments: