![President Salva Kiir, centre, arrives at the John Garang Mausoleum in Juba, Sudan April 27, 2012](https://lh3.googleusercontent.com/blogger_img_proxy/AEn0k_tOcsqHHRq0EGo3xNPk5Y7Ma2lbKhYlQD8U6RlZwU7lruA_xn1D5FI6ckem1R3jn4GLPdzfpJylsjFyGTU_Z1ucjd5EWJ265SFT8JegkO9Hry3ETcD6Sy-UDFpMod3aHzWTmCjKx7t2sI5smIhS=s0-d)
Rais Salva Kiir Mayardit wa Sudan Kusini ameingia kwenye vitabu vya historia kwa kuandika barua kwa watendaji wake kurejesha kiasi cha pesa kilichoibiwa serikalini kinachokadiriwa kufikia $ 4,000,000,000. Kiir amesema wahusika warejeshe pesa hiyo haraka kuepusha kutesa wananchi wasio na hatia. Kwa habari zaidi
BONYEZA hapa.
No comments:
Post a Comment