The Curse for Salvation

The Curse for Salvation

Sunday, 3 June 2012

Maisha bora kwa wote wagonjwa wabebwa kwa Trekta!



Rais Jakaya Kikwete alipowaahidi watanzania maisha bora kwa wote walimchukulia serious wasijue alikuwa akiwafunga kamba. Tuliwahi kushangaa serikali kubarika Bajaj kubeba wagonjwa. Taarifa toka Morogoro ni kwamba mambo yameenda yakiongezeka ambapo matrekta yanatumika kubebea wagonjwa! Kwa habari zaidi BONYEZA hapa.

No comments: