Kwa wapenzi wa Sebene bila shaka bado wanamkumbuka gwiji wake Dindo Yongo Mabeli aliyefariki tarehe 23 Agosti, 2000. Leo tumemkumbuka kama wapenzi wake bila kuwasahau wengine waliopotea kwenye muda kama huu kama vile Jean de Dieu Makiese (Madilu) na wengine wengi.
No comments:
Post a Comment