Ingawa hili lilikwisha kulalamikiwa sana, taarifa ya mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu (CHADEMA) bungeni inaleta changamoto zaidi. Lissu alikaririwa akikaripia vitendo vya rushwa, kujuana na hata kulipa fadhili kwenye uteuzi wa wakuu wilaya na mikoa ambao kimsingi hawana umuhimu wala maana yoyote kwa wananchi bali kuwaongezea mzigo. Wengi wanawachukulia wakuu wa wilaya na mikoa kama wanyonyaji na mizigo ya kawaida wanaofanya hivyo kwa kushirikiana na rais mwenye mamlaka yanayomzidi hata kimo. Je watanzania wataendelea na upuuzi huu hadi lini ambapo mtu mmoja tena dhaifu anaweza kuwapa kazi ya kuwasikinisha watanzania marafiki zake? Kwa habari zaidi BONYEZA hapa.
The Curse for Salvation
Friday, 13 July 2012
Hapa Lissu kamshika pabaya Kikwete
Ingawa hili lilikwisha kulalamikiwa sana, taarifa ya mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu (CHADEMA) bungeni inaleta changamoto zaidi. Lissu alikaririwa akikaripia vitendo vya rushwa, kujuana na hata kulipa fadhili kwenye uteuzi wa wakuu wilaya na mikoa ambao kimsingi hawana umuhimu wala maana yoyote kwa wananchi bali kuwaongezea mzigo. Wengi wanawachukulia wakuu wa wilaya na mikoa kama wanyonyaji na mizigo ya kawaida wanaofanya hivyo kwa kushirikiana na rais mwenye mamlaka yanayomzidi hata kimo. Je watanzania wataendelea na upuuzi huu hadi lini ambapo mtu mmoja tena dhaifu anaweza kuwapa kazi ya kuwasikinisha watanzania marafiki zake? Kwa habari zaidi BONYEZA hapa.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment