Heko Rais Magufuli

Thursday, 15 November 2018

Waziri Mwakyembe Azindua Kitabu Changu


Jana Waziri  wa Habari, Sanaa, Michezo na Utamaduni Dkt Harrison Mwakyembe alizindua kitabu changu cha Kudos to President Magufuli mjini Dodoma. Katika ufunguzi huo ambao uliambatana na kuanza uuzaji wa kitabu, Mwakyembe aliwahimiza wananchi kukinunua na kuona mambo mengi makubwa na mazuri aliyokwishatenda rais John Pombe Magufuli. Kwa habari zaidi BONYEZA HAPA.

No comments: