The Chant of Savant

Tuesday 8 January 2013

Weusi unapokuwa dhambi kwa waswahili!

Nomasonto before and after
Habari za kusikitisha toka nchini Afrika Kusini ni kwamba wengi wa wananchi wa taifa hili lililosota sana chini ya ubaguzi wa rangi wameanza kujibagua. Wanatumia mikorogo ili kuonekana wazuri. Kwao weusi tii ni ubaya hivyo watu, wake kwa waume wameamua kujipiga vita kwa kuvamia mikorogo! Inatisha na kusikitisha kwa taifa lililodhalilishwa sana na weupe nalo kuanza kujibagua hata kama kadhia hii haiwahusishi wananchi wote wa taifa hili. Kwa habari zaidi GONGA hapa.

No comments: