The Curse for Salvation

The Curse for Salvation

Thursday, 17 January 2013

Kikwete haishi vituko!

Rais Kikwete ataingia kwenye historia kama rais wa Tanzania ambaye hufanya mambo ambayo usingetegemea. Pia hufanya mambo ambayo hayaachi utata. Katika picha hii angalia mwenyewe utafsiri vituko vya rais wako baada ya kushuhudia vituko vya mkewe kwenye uzi uliopita ambapo alipokelewa kama rais kasoro zuria jekundu.Walivyoshikana mikono inamuacha kila mtazamaji kinywa wazi hasa kwenye dunia ya sasa ya shaka na kila aina ya tafsiri.

No comments: