How the Berlin Conference Clung on Africa: What Africa Must Do

How the Berlin Conference Clung on Africa: What Africa Must Do

Saturday, 1 August 2015

Je siasa za uchumiatumbo zitafanikiwa

2 comments:

Anonymous said...

Kwani kuna shida gani
Lengo letu Ukawa ni kuitoa CCM madarakani
Haijarishi wapi kwa vigezo vipi tutawatowa
Lowassa in kafara Kama alikuwa fisadi mbona CCM. Hawakumpeleka jela
Lakini kasema maagizo yaliyotoka juu
Na Lowassa anajuwa mengi tangu uchaguzi wa 1995,2000 , 2005, 2010 ' Subirini CCM mtakufa Kama Mende

Ndugu Nkwazi N Mhango said...

Anon asante kwa mchango wako ingawa sijakuelewa unaposema Lowassa ni kafara. Je Kafara kwa sasa ni Lowassa au UKAWA walioingia choo ya kike wasijue jinsi ya kutoka humo. Nadhani kama Lowassa angekaa kando akamuunga mkono mgombea mwingine angeusaidia upinzani. Anachofanya kwa sasa ni kama anaumaliza akirudia mchezo ule ule wa tamaa ya madaraka na kukurupuka wa kaka yake Augustine Mrema. Time will tell. Hakuna haja ya kuuana kwa sasa ila siku ya siku ikifika tusikimbiane.