How the Berlin Conference Clung on Africa: What Africa Must Do
Thursday, 25 April 2019
Picha ya Leo Aliyeko Juu Mngoje Chini
Nani alijua kuwa waliokuwa wakijifanya kuiweka serikali mifukoni mwao kwa vile walikuwa wakila na wakubwa kama James Rugemalira na mshirika wake Singh katika wizi wa kutisha wa ESCROW wangeishia kunyea debe? Kuna haja ya kutenda haki kwa umma na kujali mali zake badala ya kuutumia kama njia ya kujitajirisha huku umma ukiachwa unateseka bila sababu. kwa umri huu mateso haya ya nini? Wanaosema rais John Pombe Magufuli hajapambana na ufisadi wawakumbuke wateule hawa. Tunangoja kupata picha ya Simon Kisena huku tukingojea kwa makini kumuona Lugumi naye akituonyesha vitu vyake. Hii ndiyo picha ya leo.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment