Maneno ya rais John Pombe Magufuli yanauma sana. Sijui wetu wameingiwa na mdudu gani. Hivi kweli hapa akikamata na kufunga kwa kutumia sheria za uhujumu uchumi ambazo hazina dhamana mtasema eti anavunja haki za binadamu? Namuomba Rais ahakikishe wahusika pesa waliyopewa inawatokea puani kama siyo masikioni. Kwanini watanzania wanaojiingiza kwenye upuuzi huu hawataki kumuelewa rais?
No comments:
Post a Comment