The Chant of Savant

Tuesday 20 October 2020

SALAMU ZENU HUKO

Ijumaa nilipata fursa ya kukutana na jamaa hawa kwenye viunga vya chuo chetu kikuu cha Manitoba wakijindaa kuanza safari ya kutuaga baada ya kugundua kuwa kumbe winter inaingia. Hivyo, jamaa wanaaga na kuondoka kuelekea kusini na mashariki kuepuka baridi. Kama mtapata bahati ya kuwaona huko, basi pokea salamu zetu. Kweli siku hazigandi! Salamu zetu kwenu nyote kupitia kwa jamaa hawa wajanja wasioongea au kujidai.

No comments: