


Jakaya Kikwete na mkewe na Al Waleed na Ameerah Al-Tawaleel
Pamoja na kuwatakia Idd Mubarak njema waumini wa kiislam, tunawaletea picha za viongozi wao hasa kutoka Uarabuni na vivazi vyao. Wakati wenzetu wanwavisha mahema wake na dada zao, waarabu wanapiga pamba kinoma. Mmeipata hiyo wajameni? Kwa wenye madaraka ninja kwa wake zao haramun! Tufakari na kujifunza. Unaweza ukaachwa ukaadhini umengojewa.
1 comment:
Nina imani kuwa hakuna kuchelwa katika kutakiana kheri.Kila la kheri kwa EID mUBARAK.
Post a Comment