The Chant of Savant

Friday 5 October 2012

Kweli akutukanaye hakuchagulii tusi!


Nini tafsri yako kwa rais Kikwete kupewa zawadi ya jezi Kanada? Je wanajua udhaifu  au upenzi wake michezo na mambo ya mchezo mchezo?  Ningekuwa mimi nisingepokea udohoudoho kama huu. Sijui gwiji kama Mwalimu Nyerere ungempa jezi kama hii asikutukane hadi ukome. Je hapa tatizo ni mtoa zawadi au mpokeaji? Jaza mwenyewe.

6 comments:

Anonymous said...

Mwenye blog hii ndio mwenye tatizo hah ha ha ha .
ujinga mutupu huna lolote
ZE KOMEDI

Anonymous said...

Ano mbona tena matatizo yapo kwako inaonyesha.
hii mlog inajulikana kwa kuporomosha matusi kwa Rais wetu wewe tulia tuu.
Ati yeye ni mkanada na uki comment kitu huwa anfuta sasa ya nini kuweka watu ku comment.
unaona hata hakuna mtu ana comment

Jaribu said...

Rais kilaza huyu, anachekelea jezi!

Miss K. said...

Nyie anony wa Oct 5&6 metumwa au mmerogwa? Hapa unatoa comments unavyotaka nyie tu...kwanza tumieni majina yenu na sio anonymous kwani mnaogopa nini???
Back to the topic...Rais ni limbukeni sana wa vijizawadi vidogo vidogo visivyo na mpango. Basi hili jezi ataliweka ukutani IKULU kuonyesha yeye maarufu.Hajui atendalo ni kilaza kweli..

Anonymous said...

Anayetoa zawadi na anayepokea wote limbukeni hata mpira wa miguu hawakucheza.Kuna haja ya kukaa nyumbani na kufanya kazi ambazo ninauhakika zmejaa kwenye meza yake.Muda mwingi hatulii ofisin na kuweza kufanya kazi kila baada ya siku moja ni safari kama sio ulaya,usa ect.Sasa ni muda upi anakaa na kuyapitia masuala ya kikazi kama Rais?Angekuwa anazunguka nchini mpka kijijin tusingepiga kelele kwani tunajua Rais kweli anafutilia miradi na mengineyo lakini mpaka wakati wa kupiga kura ndio anaonekan zaidi kuona yuko sehemu anafungua mradi fulani.Tunataka awe anakwenda kijijin ongea na wanakikiji ana sio vingine

Sheila White said...

Nyie anony wa Oct 5&6 metumwa au mmerogwa? Hapa unatoa comments unavyotaka nyie tu...kwanza tumieni majina yenu na sio anonymous kwani mnaogopa nini??? Back to the topic...Rais ni limbukeni sana wa vijizawadi vidogo vidogo visivyo na mpango. Basi hili jezi ataliweka ukutani IKULU kuonyesha yeye maarufu.Hajui atendalo ni kilaza kweli..