How the Berlin Conference Clung on Africa: What Africa Must Do

How the Berlin Conference Clung on Africa: What Africa Must Do

Friday, 13 February 2015

Kitabu Kipya cha NYUMA YA PAZIA KIMETOKA!

Nyuma Ya Pazia
Mchapishaji: Langaa Research and Publishing Common Initiative Group (Langaa RPCIG)
Bamenda Cameroon
Ukubwa: Kurasa 254
Maudhui: Kukosoa mfumo wa kifisadi barani Afrika hasa Tanzania. 
Kitabu hiki kilikataliwa na wachapishaji nchini Tanzania eti kwa kuhofia mafisadi wangewaua. Hivyo, nililazimika kukichapishia Cameroon.
Namshukuru sana Dada Philo Ikonya aliyeniunganisha na Langaa. Pia dada Roselyne aliyesimamia shughuli yote.

Nyuma Ya Pazia

Thursday 12 February 2015, author(s)-editor(s) Nkwazi Nkuzi Mhango


Nyuma Ya Pazia inazungumzia ubadhirifu unaomhusisha rais na mawaziri wake katika nchi ya Mafuriko au Abracadabra. Rais akishirikiana na waziri mkuu walileta kampuni ya kigeni ya kuua wadudu ya Richmen kuwekeza kwenye kuzalisha umeme nchini Mafurikony; Richmen to invest in power generation in Mafuriko. Kupitia rushwa na ushawishi wa wakubwa hawa Richmen ilipata tenda na kutumika kama mrija wa kuibia mabilioni ya fedha za umma toka Benki Kuu. Wananchi walipogundua jinai hii waliiangusha serikali na kuwaaadhibu watawala wao kwa kuwafunga maisha na wengine kuhukumiwa vifo. Kitabu kinaupiga kijembe tawala fisadi barani Afrika.
Nyuma Ya Pazia or Behind the Curtain is about corruption involving the president, and his ministers who rob the country of Mafuriko or Abracadabra. President, in conjunction with his Premier, brought fake foreign insecticide company; Richmen to invest in power generation in Mafuriko. Through logrolling Richmen lands a very lucrative tender used as a conduit of stealing millions from the Central Bank. Richmen is used to syphon billions of dollars from the treasury. When people get wind of this theft, force the government to crumble thereby rulers are punished by being jailed or other being sentenced to death. The book satirizes African kleptocratic regimes.
Purchase on African Books Collective
Purchase AMAZON
ISBN 9789956792184 | 254 pages | 203 x 127mm | 2015 | Langaa RPCIG, Cameroon | Paperback

No comments: