Jambazi huyu aliyeitwa rais wa nchi aliishi maisha ya anasa sana kwa kodi za maskini waliokuwa wakifa njaa wakati yeye akilisha hata kenge na mamba. Mbwa huyu binadamu alitanua akijidai kumwamimi Mungu wake wa Kikoloni hadi kumjengea Kanisa kubwa kuliko yote lililofunguliwa na papa mwenyewe. Afrika isipoamka itafanyiwa kitu mbaya. Huyu alipaswa afukuliwe na kuchapwa viboko akiwa mfu.
No comments:
Post a Comment