Sunday, 15 July 2012

AU yamchagua Dlamini-Zuma bosi wakeKikao kinachoendelea cha wakuu wa Umoja wa Afrika (AU), umemchagua waziri wa zamani wa Afrika Kusini Nkosazana Dlamini-Zuma kuwa kiongozi wake. Dlamini-Zuma amemuangusha waziri wa zamani wa mambo ya nchi za nje wa Gabon Jean Ping aliyeongoza umoja huo kwa kipindi kilichokwisha. Mpambano huu umekuwa mkali sana baada ya wawili hawa kushindwa kufikia kiwango cha kura kilichopaswa kwenye awamu ya kwanza ya uchaguzi. Kwa habari zaidi BONYEZA hapa.

No comments: