Saturday, 28 July 2012

First lady alipobembezwa kama mtoto!


 Huyo si Hilary Clinton bali mwana mieleka wa Marekani  Helena Pirozhkova akimbeba Michelle Obama wakati wa shamra shamra za michezo ya Olimpiki inayofanyika jijini London Uingereza. Wenzetu wanajua kuchanganyikana na watu wakijua fika madaraka yao ni koti la kuazima. Hawajioni kama miungu-watu wetu wanaoogopa wale wale ambao kodi zao zinawalisha na kuwavisha wao familia zao na hata marafiki na washirika wao.

4 comments:

Anonymous said...

Wa Tanzania Hatuna utamaduni wa kubebana hivoo
uliona wapi katika nchi za Afrika tunambeba Mke wa Rais hata leo ikawa ya pili hebu tafuta picha kama utapata. ghana,senegali ,mali congo,
bukina faso,nigeria,teremka chini
bostwana, zambia,angola,kabla ya uhuru na baada ya uhuru,
unataka tuige?

Jaribu said...

Ni kweli. Ukitaka kumbeba Salma si inabidi uwe na forklift?

Anonymous said...

Salma anajilia kama nguruwe wakati mwenzake anakula kitaalam. Michelle ni msomi wakati Salma ni mbumbumbu wa kawaida.

Jaribu said...

Wanawake mbumbumbu ndio anaowapenda Jakaya. Hataki mwanamke wake ampite akili