Sunday, 15 July 2012

Waweza kuamini huyu mama ni muuaji?Karla Homolka (top) and Lori Homolka come out of the family home to a van waiting to take the family to Karla's manslaughter trial for the deaths of Kristen French and Leslie Mahaffy in St. Catharines July 6, 1993. (see cropped version-headshot# 3717256 ) (CP PHOTO/Frank Gunn)


Karla Homolka ni jina maarufu nchini Kanada. Homolka ni maarufu si kwa uzuri bali ubaya. Mama huyu akishirikiana na mumewe waliwatesa wasichana watatu akiwa pamoja na mumewe. Kilichofanya watu wengi wastuke nusu kufa ni kugundua kuwa kumbe kati ya mabinti wa shule hao walioteswa mmojawapo alikuwa mtoto wa Homolka mwenyewe. Marehemu walibakwa na mume wa Homolka aliyemsaidia kutekeleza unyama huu kabla ya kunaswa na kufungwa baadaye. Kwa habari zaidi BONYEZA hapa uone vituko vya malimwengu.

No comments: