Sunday, 15 July 2012

Canada yaamua kukamata mali za watawala wezi


  • About 250,000 demonstrators gathered on Tahrir Square to claim for President Hosni Mubarak's resignation, in Cairo, Egypt on February 1, 2011. Photo by Etienne de Malglaive/ABACAPRESS.COM

Taarifa zilizotufikia ni kwamba serikali ya Kanada imeamua kuchukua hadhari kwa kukamata pesa za watawala wezi zilizokuwa zimefichwa nchini humo. Pia mamlaka zimeamua kukamata mali za watawala hao na ndugu zao. Kwa habari zaidi BONYEZA hapa.

No comments: