Tuesday, 17 July 2012

Mashoga waruhusiwa kulala pamoja wana ndoa wakataliwa!


Marks family (Canadian Press)

Wana ndoa Russell and Lauryn Mark toka Australia wanaohudhuria mashindano ya Olimpiki jijini London Uingereza wamechukia na kupigwa mshangao baada ya kuambiwa kuwa hawawezi kulala pamoja. Kilichowasikitisha zaidi ni ile hali ya kugundua kuwa kuna mashoga wengi watakaoishi pamoja kwenye michezo hiyo. Wanaona kama huu ni ubaguzi na unyanyasaji wa aina yake. Kwa habari zaidi BONYEZA hapa.

No comments: