Monday, 9 July 2012

Kuna uhai au kujipa matumaini tu?

Hizo hapa chini ni picha zilizonaswa na NASA kuonyesha matumaini kuwa kuna uhai kwenye sayari ya Mars. Je kuna matumaini ya kuupata uhai kwenye sayari ya Mars au ni wanasayansi wanatuzuga ili wafadhili wao wasiache kuwapa pesa? Wengi tunajiuliza kama nchi maskini ambazo zimenyonywa na kutelekezwa na hawa wanaofanya utafiti watafaidika na ugunduzi wa maisha katika Mars. Kwanini washindwe kuwekeza kwetu wawekeze kwenye Mars wakati sisi ndiyo mtaji wa hayo mapesa yanayowawezesha kwenda kufanya utafiti kule?This full-circle scene combines 817 images taken by the panoramic camera (Pancam) on NASA's Mars Exploration Rover Opportunity on the planet Mars, as seen in this handout image from NASA received by Reuters July 7, 2012. (REUTERS/NASA/Handout)Mars surfaceMars dust devil 

No comments: