Friday, 20 July 2012

First lady Nigeria tamaa au balaa? Taarifa zilizotufikia ni kwamba mke wa rais Nigeria Goodluck Johnathan, Patience (Pichani), ameteuliwa kuwa katibu wa kudumu na gavana wa jimbo la Bayelsa anakotokea rais.  Gavana huyu yuko karibu na rais na kitendo alichofanya kinaonyesha mgongano wa kimaslahi. Wengi wamelaani upofu na upogo huu kwa rais na mkewe ukiachia mbali tamaa na ufisi. Kwa sasa serikali ya Jonathan inakabiliwa na tuhuma za ufisadi, kujuana, kulindana na kufadhiliana gonjwa ambalo linasumbua karibu nchi zote za Kiafrika. Kwa habari zaidi BONYEZA hapa.

No comments: