Wednesday, 4 July 2012

Wanandoa wallizawadia jiji $ 30,000,000!


Canadian Press

Matajiri wana vituko. Jiji la Vancouver nchini Canada limepewa zawadi ya dola za kimarekani 30,000,000 na wanandoa wawili ambao hawakutaka majina yao yatajwe. Kwa habari zaidi BONYEZA hapa.

No comments: