Sunday, 8 July 2012

Kilaini vua joho uvae gamba ndugu yangu


Askofu msaidizi wa Jimbo la Bukoba Methodius Kilaini humuona kama kiongozi wa kidini mwenye kijikomba kwa watawala. Maana kila akiongea huongea kama kada wa CCM kuliko Askofu. Kwa wanaokumbuka alivyofurushwa toka Dar es Salaam alipokuwa msaidizi wa Kardinali Pengo wanajua nimaanishacho. Heri angevua majoho akavaa magamba! Naamini ujumbe huu ataupata haraka sana iwezekanavyo.  Ukiwaangalia wawili hao hapo juu unagundua kitu kimoja: mmoja hodari wa kughushi vyeti vy akitaaluma na mwingine hodari wa kutumia joho kutumikia magamba.

No comments: