Saturday, 21 July 2012

Rais anapolowa chapa chapa

US President Barack Obama during a heavy rainstorm at a campaign rally in Glen Allen, Virginia,
Rais Barack Obama akiwa amelowa baada ya kunyeshewa mvua alipokuwa kwenye kampeni kwenye jimbo la Virginia hivi karibuni. Angekuwa mmangimeza wa kiafrika asingelowa. Wapambe wake wangemfunika na kumkinga kama kichanga wasijue ni binadamu. Je Obama alilowa kwa kutaka au kulazimika? Je walinzi wake walikuwa wapi?

No comments: