Saturday, 21 July 2012

Ombaomba anapokutana na mfadhili


Ingawa tunahitaji misaada lakini si kwa kila kitu. Rais Jakaya Kikwete na rais Muungano wa Ulaya (EU),Jose Manuel Barroso baada ya Umoja huo kutoa msaada wa Euro Milioni 126.5 kwa Tanzania kwa ajili ya ujenzi wa barabara, upatikana wa maji na uboreshaji huduma za maji. Je pesa husika itatumika kama ilivyokusudiwa au itaishia kunyofolewa na kutumia vibaya kama yalivyo mazoea ya serikali yetu?

No comments: