Tuesday, 3 July 2012

Nini kilimuua Arafat?Kwa mujibu wa kituo cha habari cha Al-Jazeera ni kwamba mwili wa kiongozi wa zamani wa Palestina Yasser Arafat utafukuliwa ili kuchunguza kama kweli alikufa kwa kupewa sumu aina ya Polonium. Kwa mujibu wa Al-Jazeera, baada ya kufanya mahojiano na mjane wa Arafat, Suha, kuna tetezi zilizoibuliwa na madaktari kwenye maabara nchini Uswisi zinadai  kuwa Arafat aliuawa kwa sumu aina ya Polinium ambayo inasemekana ilionekana kwenye vitu alivyokuwa navyo marehemu. Kwa habari zaidi BONYEZA hapa.

No comments: