Tuesday, 24 July 2012

Breaking News rais Mills wa Ghana hatunayeKwa mujibu wa shirika la Utangazaji la Uingereza BBC, rais wa Ghana John Atta Mills (68) (Pichani) amefariki dunia baada ya kuugua ghafla. Msemaji wake hakutoa maelezo zaidi kutokana na mstuko na pigo kwa taifa hili linaloelezeka kuwa miongoni mwa  nchi mfano mzuri kidemokrasia. Kwa habari zaidi BONYEZA hapa.

No comments: