Sunday, 22 July 2012

Kamanda amekuwa na ananisaidia kukata majani

 Kamanda anajiandaa kupiga mzigo na mashine yake bab kubwa
 Kamanda yumo mzigoni akifyeka majani
Mtambo umekorofisha, hivyo kamanda kaamua afanye matengenezo aendelee na mzigo.

2 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Umri huu ni mzuri sana huwa wanapenda kujaribu/kufanya kila kitu wazazi/walezi wanafnya..Safi sana .

Williamsdxat said...

Umri huu ni mzuri sana huwa wanapenda kujaribu/kufanya kila kitu wazazi/walezi wanafnya..Safi sana .